Jinsi Ya Kuacha Tabia Ya Kuwasema Watu Wengine Vibaya...!
M4A•Αρχική οθόνη επεισοδίου
Manage episode 401083858 series 3280689
Το περιεχόμενο παρέχεται από το Innocent Ngaoh. Όλο το περιεχόμενο podcast, συμπεριλαμβανομένων των επεισοδίων, των γραφικών και των περιγραφών podcast, μεταφορτώνεται και παρέχεται απευθείας από τον Innocent Ngaoh ή τον συνεργάτη της πλατφόρμας podcast. Εάν πιστεύετε ότι κάποιος χρησιμοποιεί το έργο σας που προστατεύεται από πνευματικά δικαιώματα χωρίς την άδειά σας, μπορείτε να ακολουθήσετε τη διαδικασία που περιγράφεται εδώ https://el.player.fm/legal.
Umekuwa na tabia ya kuwasema watu wengine kwa namna yoyote kwenye maisha yao? Hii ni tabia mbaya, lakini hujui ufanye nini ili uache tabia hii ya kimaskini na ni tabia mbaya. Inawezekana siyo wewe ila kuna watu wa karibu yako wana tabia hii, basi kupitia maarifa haya utaweza kuwa chachu ya kubadilika kwake. Huwezi kumbadilisha mtu ila unaweza kuwa sababu ya yeye kubadilika kama atakuwa tayari kubadilika. Kwahiyo... Unahitaji sana kuacha tabia ya kuwasema watu wengine vibaya kwa namna yoyote. Kwa sababu ni tabia ambavyo inafanya upoteze uaminifu na kuonekana ni mtu wa hovyo. Hata kuharibu mahusiano yako na watu karibu yako, hasa pale wakigundua ni tabia yako kuwasema vibaya kwa watu wengine. Unahitaji sana kuwa muungwana kwa kutowasema watu wengine vibaya kwa namna yoyote ile. Kwa kuacha tabia ya kuwahukumu watu wengine kwa sababu yoyote ile. Kupitia episode hii... Utajua ni kwa namna gani unaweza kuacha tabia ya kuwasema watu wengine vibaya. Baada ya kusikiliza kuwa na uhakika hautakuwa mama ulivyokuwa mwanzo. Muda ndiyo sasa wa mabadiliko. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
…
continue reading
103 επεισόδια