Kupitia vipindi vyetu tunajaribu kuwahamasisha vijana wa Afrika kuhusu elimu ya jamii. Inasaidia kuyafanya maisha yao kuwa rahisi.
…
continue reading
Huku Farahani na Sule wakiota kuwa na maisha bora Ulaya, mwanafunzi Linda tayari yuko njiani kuelekea huko. Mchezo huu unalinganisha ndoto za vijana wa Kiafrika za kusoma na kufanya kazi Ulaya na hali halisi ya mambo.Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Kila binaadamu hapa duniani ana haki ya uhuru na usawa - kwa mujibu wa azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binaadamu. Lakini katika mataifa mengi barani Afrika, utakuta haki hizi zinaendelea kukanyagwa na kukiukwa.Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Katika kipindi hiki, tutageuka na kuangazia sekta ya muziki na kupata nafasi ya kumfahamu Chimere Emejuobi, mwimbaji kutoka Lagos. Muziki ni muhimu sana katika jamii nchini Nigeria.Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Hatutazungumzia juu ya taaluma fulani, lakini ni juu ya wale wote ambao hawana ajira. Idadi ya wasio na ajira hususan miongoni mwa vijana imeongezeka sana barani Afrika. Kila kijana mmoja kati ya watano hana ajira.Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Katika mji mkuu wa Kenya, tunakutana na watu wanaofanya shughuli zao ambazo ziko nje ya sekta rasmi ya uchumi. Wanashughulika kinyume na sheria bila ya kuwa na elimu stahiki, mfano biashara ya kiwango cha rejareja.Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Tutaiangazia sekta ya elimu huko Lagos Nigeria. Kwa jumla waalimu hulipwa mshahara mdogo. Lakini kwa baadhi yao, la muhimu ni hamasa ya kufundisha na hamu ya kuwapatia ufahamu wanafunzi wao.Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Katika kipindi hiki tutapata nafasi ya kumfahamu kijana mmoja nchini Uganda ambaye ni meneja wa hoteli. Je kuna ugumu gani wa kufanya kazi ya umeneja wa hoteli katika nchi zinazoendelea kama Uganda?Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Mtandao wa Intaneti ni lango kuu la kujiunga na jamii duniani. Hata hivyo bado watu wengi hawana uwezo wa kuitumia. Wafanyakazi katika sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wanajaribu kulibadilisha suala hili.Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Kuna taaluma ambazo zinachukuliwa kuwa ni za wanaume tu. Ni wanawake wangapi wanaoweza kurekebisha magari au pikipiki? Estelle Christian Ouedraogo, kutoka Burkina Faso, ni miongoni mwao. Tujiunge naye!Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Katika mfulululizo huu, tutakutambulisha kwa vijana wa kiafrika wenye taaluma mbalimbali, na kukupatia undani wa shughuli zao. Kwanza tutapata nafasi ya kumfahamu Judith ambaye ni nesi katika hospitali huko nchini Kenya.Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
“Wanaopata, wanaoweka. Anayepata kitu fulani njiani anaruhusiwa kukimiliki” Je, ni rahisi namna hiyo kila mara? Sikiliza hadithi ya kobe na tumbiri mjanja aliyelazimika kupata adhabu kuokoa mkia wake!Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Hadithi yetu inatokea zamani za kale, wakati tausi alipokuwa angali mweupe. Jifunze jinsi alivyopata rangi zake nyingi na wakati huo huo kuiharibu sauti yakeΑπό τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Siku moja bundi mzee na nyenje kijana wanakuwa majirani. Mwanzoni wanafurahia kuishi kwa pamoja, lakini kadri muda unavyopita bundi anakasirika na nyenje anavunjika moyo. Watafanya nini?Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Katika hadithi hii, marafiki zetu wanyama wenye njaa wanalazimika kutafuta njia ya kuchuma matunda mtini. Inaonekana kuwa kazi rahisi lakini mti wa maajabu wa marula unawafunza somo zuriΑπό τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Mwanamke kizee akamwambia Amadou. “Usijiingize katika hali usizoweza kukabiliana nazo! Fuata maagizo yangu.” Lakini wakati mwingine inahitaji uhodari mkubwa mtu kukubali udhaifu wake, kama Amadou atakavyogunduaΑπό τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Kassi na Kaloo – marafiki wasioweza kutenganishwa! Angalau hali ilikuwa hivyo kabla farasi hao wawili wa kupendeza kupandwa na wafalme wawili mahasimu. Watafanya nini wakati vita vitakapozuka kati ya falme zinazopigana?Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Je unaamini hirizi za bahati na mawe ya mazingaombwe? Sawa, zuia wazo hilo na tumruhusu ngiri atueleze hadithi yake kuhusu kilichomuokoa, na vipiΑπό τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Fuata nyayo za Lipua! Njiwa jasiri ana kibarua cha umuhimu mkubwa. Je Lipua atamshinda mfalme mlafi na muovu Karamba na kuwaokoa ndege wenzake wasife kutokana na njaa?Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Zamani paliondokea simba na fisi mwenye njaa. Kilichoanza kama uhusiano wa ajabu lakini wa furaha, kinamalizika huku fisi akiwa amejeruhiwa maisha yake yote na tai akipoteza manyoya yake kadhaaΑπό τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Katika mfululizo mwingine wa kusisimua, tunautembelea ulimwengu wa mjusi kafiri Sindakh na chura aitwaye Mbott – hadithi kuhusu urafiki, uaminifu na usalitiΑπό τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Malaika ndiyo kwanza amerejea kutoka katika mahafali mjini na anakwenda nyumbani kusherehekea na familia yake. Huko ndiko majaaliwa yake yatakapoamuliwaΑπό τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Huko chuoni, Malaika anawajibika kumaliza elimu ya vitendo ili kukamilisha mwaka wa masomo. Kwa msaada wa rafiki yake Malaika amefanikiwa kupata shirika atakakofanyia mafunzo hayo. Je anafaulu mtihani wake wa mwisho?Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Malaika anakwenda nyumbani kwa likizo yake ya kwanza. Anaitembelea shule yake ya zamani kuwahamasisha vijana kusoma na kuzuia mipango mingine ya wazazi wake kutaka aolewe. Je anaweza kuingiliana na maisha ya kijijini?Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Malaika anajifunza kuwa kuna vitu vya kujifunza nje ya masomo. Cindy, mkaazi mwenzake anamuonyesha jinsi ya kufurahia maisha ya chuoni lakini bado anakabiliwa na changamoto ya kutojiangusha yeye mwenyewe au kijiji chakeΑπό τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Kwa msaada wa kijiji chake, na mkopo binafsi, Malaika hivi sasa anaweza kulipia ada ya chuo kikuu.Mwalimu wake wa zamani anamsindikiza katika jiji kubwa kumsaidia kujisajili na kupata makazi chuoni.Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Tutajifunza zaidi kupitia hadithi ya Malaika, jinsi ya kusoma chuo kikuu. Msichana huyo wa kijijini alijitofautisha na wengine alipowashinda wavulana wote katika mtihani wake wa mwisho shuleni. Je nini mustakhbali wake?Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Zapcom na timu yake wameibadili taswira ya kijiji chao. Katika kipindi hiki cha mwisho, timu yetu inatuaga huku ikiendelea kutafuta fursa kubwa zinazotolewa na teknolojia mpya ya mawasiliano kwa bara laf Afrika.Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Mjomba Kiilu amekasirika na ameifukuza timu kwenye mkahawa wa intaneti. Lakini timu hiyo imefanya kosa gani?Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Huku fursa za teknolojia mpya ya mawasiliano zikiongezeka, inatoa mwanya wa kupanua biashara. Bonyeza hapa uungane na timu yetu.Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
1
Teknolojia mpya ya Habari na Mawasiliano – Kipindi 07 – Virusi na wizi wa Muziki kupitia Mtandao
11:59
Oh Hapana! Kompyuta zote kwenye mkahawa wa intaneti zimeathiriwa na virusi. Nini kimefanyika? Na watalitatua vipi tatizo hilo?Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Hufanya nini na simu ya zamani ya mkononi? Hutengenezwa na vifaa gani? Na husababisha athari gani kwa mazingira? Timu yetu inajaribu kujibu maswali haya.Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Zapcom na timu yake wanagundua fursa chungu tele za mawasiliano ya kisasa kila kuchao. Wanajifunza pia jinsi ya kutumia ujuzi huu mpya katika maisha yao ya kila siku – hata katika mkahawa mdogo wa mjomba Kiilu kijijini.Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Zapcom na timu yake walionekana kupata mawazo mapya kila mara. Hata hivyo kuna shinikizo kubwa. Ukosefu wa miundombinu hausaidii hali. Je timu hii inakabiliana vipi na hali hii?Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Rafiki yetu kijana Zapcom na timu yake wanakaribia kutimiza ndoto yao. Je watafaulu?Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Mkahawa mpya wa huduma za intaneti umefunguliwa na unafanya kazi. Lakini kuna changamoto nyingi ambazo marafiki zetu wanajifunza kukabiliana nazo huku biashara ikikua.Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Anayetufungulia kipindi hiki ni Zapcom, kijana chipukizi mwenye shauku kutokana na elimu mpya aliyojifunza. Ndoto yake kubwa ni kukiinua kijiji chake. Tuungane naye.Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Katika kipindi chetu cha mwisho, babu Peter anatueleza kuhusu enzi mbaya ya historia. Kupitia hadithi zake tumejifunza mengi katika mfululizo wa vipindi hivi. Kwa bahati nzuri, tunaweza kuvikamilisha kwa furaha!Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Si siri kwamba eneo kubwa la Afrika lilitawaliwa na makoloni Wazungu. Lakini ilikuwaje babu Peter? Ni kitu gani walichokitaka? Na kuzigawa nchi na watawala wao kulifanyika vipi?Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Tangu katikati ya karne ya 20 mataifa yote ya Afrika wamejipatia uhuru. La huzuni ni kwamba baadhi yao yalilazimika kupigana vita vya umwagaji damu kujikomboa, hasa yale yaliyokuwa chini ya utawala wa Wareno. Sawa, babu?Από τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading
Katika ufalme wa zamani wa Ashanti, msichana kuvunja ungo na kuwa mwanamke lilikuwa tukio kubwa, na kila mtu alialikwa kusherekea kukua kwake! Hiyo ilikuwa mpaka ngoma zilipopigwa kutangaza kuwasili kwa mzunguΑπό τον DW.COM | Deutsche Welle
…
continue reading